Bondia
Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo matajiri zaidi duniani,
May 02 2015 amefanikiwa kutengeneza zaidi ya dola milioni 150 kwenye
pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao ambalo aliibuka mshindi kwa points.
Hii ni collection ya magari ya Mayweather katika magari yake 50 yenye thamani kubwa.
Haya ndo magari ya thamani kubwa ya Floyd Mayweather.
Reviewed by
liwale blog
on
8:21:00 AM
Rating:
5
No comments: